Vidéo en vedette

CLOUDSMEDIA
CLOUDSMEDIA

LIVE: SOMA SOMA DAY YA POWER BREAKFAST NA YASIN SABURI

Ukitaka kumficha Mwafrika Siri asiijue maisha yake yote, basi iweke Kwemye Kitabu, Nakuibia hii ili Siri hiyo isikupite na thamani yake iwe wazi kwako kwenye #PBCloudsFM tutakuwa na Mwalimu na Msomaji Mwandamizi Wa Vitabu, Yasin Sabur. Pia tutakuwa na Katibu Mtendaji Wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma ( PPAA), JAMES SANDO. Kaa karibu na Redio ya watu kuanzia Saa 12 Alfajiri.

Partager

Moyen Orient Explorez plus